Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akikabidhi vitendea kazi kwa Mh. Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo


Post a Comment