Mkuu wa Mkoa wa Morogoro aliyemaliza muda wake, Dk. Rajab Rutengwe amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk. John Pombe Magufuli kwa kushindwa kuendana na kasi ya "HAPA KAZI TU" hali iliyopelekea kuwekwa pembeni na nafasi yake kuchukuliwa na Dk. Kebwe Kebwe, ambapo amemuomba amfikirie upya kutokana na kutokujua pa kushika baada ya kuwekwa kando.
Dk. Rutengwe Aliyasema hayo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo, Dk Kebwe S. Kebwe


Post a Comment