Najua na watu wangu wa nguvu ambao shughuli na kazi zao huwalazimu kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga, kama wewe ni mmoja kati ya wale watu wanaosafiri sana na ndege kutoka Tanzania kwenda nchi mbalimbali duniani kibiashara au kutalii ni bora kufahamu hii.
List ya viwanja vya ndege vya Gibraltar,Barba cha Scotland, Princess Juliana, Toncontin cha Honduras, Madeira,Wilkins Runway cha Antarctica , Hechi cha China, Wellington cha New Zealandna Congonhas cha Sao Paolo Brazil, ndio viwanja vya ndege ambavyo vimetajwa na therichest.com kama viwanja hatari duniani.
Hii ndio video ya list ya viwanja vyote 9
Post a Comment