Baraza la Mawaziri Zanzibar.
1.Ofisi ya Rais na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi - Issa Haji Ussi Gavu.
2. Katiba na Sheria Utumishi wa Umma - Haroun Ali Sleiman.
3.Tawala za Mikoa na Idara maalum - Haji Omari Kheir.
4. Makamo wa 2 wa Rais - Mohd Aboud.
5. Waziri wa Fedha na Mipango - Dk. Khalid Salum Mohd.
6. Afya - Mahmoud Thabit Kombo.
7. Wizara ya Elimu - Riziki Pembe Juma.
8. Viwanda na Masoko - Amina Salum Ali.
9. Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi - Ali Karume.
10. Habari Utalii Utamaduni na Michezo - Rashid Ali Juma.
11. Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi - Hamad Rashid Mohd.
12. Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto - Kastiko.
13. Maji Ardhi Nishati na Mazingira - Salama Aboud Talib.
on Saturday, April 9, 2016
Post a Comment