Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHUO KIKUU CHAFUNGWA

Chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya kimefungwa siku moja baada ya ghasia na malumbano kuhusu matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi.

Kimesema kuwa bodi kuu ya chuo hicho ilifanya mkutano na kuamua kufunga chuo hicho.

Wanafunzi waliamrishwa kuondoka kufikia saa kumi na moja jioni siku ya Jumanne.

Wanafunzi wa chuo hicho walifanya uchaguzi Ijumaa iliopita,huku walioshindwa wakiandaa maandamano siku ya Jumatatu yaliovutia umati mkubwa wa polisi katika chuo hicho.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top