Loading...
MAMA NA MWANA WAJIFUNGUA MTOTO MWEZI MMOJA NA KWA BABA MMOJA
Mama na mwana wakiwa wamebeba watoto wao
Mama na mwana wajaliwa kupata watoto kwa mwezi mmoja na kwa baba mmoja.
Mwanamke kutoka Afrika Kusini, Mildred Mashego na binti yake Patricia, wameingia kwenye vitabu vya
kumbukumbu kama mama wa kwanza na binti wa kuzaa kupata watoto kwa mwezi mmoja na kwa baba mmoja.
Pia wote wawili wamejaliwa kupata watoto wa kiume huku Patricia akimtangulia mama yake siku nne kujifungua
Post a Comment