Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MBATIA AIBUKA KIDEDEA TENA


Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mh.James Mbatia pichani kati,amethibitishwa na mahakama kuu kuwa mbunge halali wa  Jimbo hilo baada ya Augustino Lyatonga Mrema  kuifuta kesi hiyo

 Kesi hiyo ya uchaguzi katika jimbo la Vunjo ilifunguliwa na aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Augustino Lyatonga Mrema.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top