
April 7 2012 tasnia ya filamu Tanzaniailimpoteza Steven Kanumba ambaye jina lake tayari lilikuwa limeanza kupenya katika nchi mbalimbali kutokana na uzuri wa kazi zake. Leo Alhamisi ya April 7 2016 familia, ndugu jamaa na marafiki walifanya ibada kwa pamoja katika kaburi la Kanumba Kinondoni.

Mchungaji alikuwepo kuongoza ibada na kutoa neno

Steve Nyerere wa katikati


Mama ‘Lulu’ akipata picha ya kumbukumbu

Pichani katikati ni Aunt Ezekiel

Baadhi ya wasanii wa filamu waliojumuika na familia ya Kanumba kwenye ibada ya pamoja

Mayasa Mrisho pichani katikati

Baadhi ya wasanii wa filamu waliojitokeza

Mama mzazi wa marehemu Kanumba

Mama mzazi wa Elizabeth Michael ‘Lulu’


Post a Comment