Ziara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya Tanzania na Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais wa Rwanda kumwambia rais wa Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya Kikwete kwamba "angemhit" Kagame tells Kikwete "I will hit you.
Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda
Post a Comment