Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS MAGUFULI ATAJA MSHAHARA WAKE

Nyota ya Radio ya Clouds FM inaendelea kung'aaa Baada ya leo tena wakati watangazaji wa Clouds TV wakijadili habari za magazeti Rais Magufuli alipiga simu na kusema mshahara wake anaolipwa kwa Mwezi ..Hii imekuja baaada ya magazeti ya leo kuandika habari ya Zitto na Lissu Kudai rais ataje mshahara wake na akatwe kodi..


Rais amewaambia Clouds TV kuwa analipwa Shilingi Milioni 9.5 amesema akimaliza mapumziko yake huko Geita atakuja kutoa mchanganuo wake pamoja na marupurupu anayopata.. 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top