Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DEREVA WA FUSO APOTEZA MAISHA KWENYE AJALI MBAYA YA BASI NA LORI

Basi la Leo Luxury Coach limepata ajali ya kugongana na fuso hapa Manyoni, dereva wa fuso amefariki. Abiria wa basi wote wazima, inasemekana fuso lilikosa breki wakati likishuka mlima. 
Sehemu hii ilipotokea ajali hii inatwa Mbwasa chini ya mlima Sukamahela kuna mteremko mkali na kona kali kama inavyoonekana na mara nyingi madereva wakishamaliza mlima wakiwa wanateremka hua wanaachia breki bila kujali kona ya hapo. 

Baadhi ya abiria waliokuwa kwenye basi ilo wakiwasiliana na ndugu na jamaa yYA

Fuso likiwa limetumbukia bondeni
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top