Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUU NDIO UTAJIRI WA DONALD TRUMP

Enzi za ujana wake Donald ..

Donald Trump alianza kufanya kazi kwenye kampuni ya baba yake na akanza kupiga mpaka deal kubwa ukitaka kuufahamu zaidi utajiri wa mwanasiasa huyu na billionare angalia picha hizi hapa chini.

Mwanasiasa huyu mtata amezaliwa sehemu ambayo wazazi wana pesa, lakini mali zake zimekuwa zikiongezeka kutokana na biashara zake, sasa ana miaka 69 na ana utajiri wa unaokadiriwa kufika  Dola bilioni 8.7 kwa takwimu za june 2015.

 Meli yake..

 Akionekana na helkopita yake mwenyewe..

 Hii ni moja ya Uwanja wake wa Gofu uliopo Washington DC.

 Ndege yake aina ya Boeing 727-23..

 muonekano wa ndege kwa ndani..



 Donald Trump na Mkewe Melania Knauss Trump..

 Mjengo wa Donald Trump..

 Muonekano wa Ndani wa mjengo wa Trump..


 Hili ni eneo lake jingine la kuishi, Palm beach Florida..

 Hili ni eneo la Swimming pool kwenye nymba yake ya kuishi..

 hapa ni nyumba ya zamani ya Trump..

 Huu ni mwonekano wa ndani wa nymba ya Trump ya zamani..

 Ukumbi wa Cinema kwenye mjengo huo..

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top