Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

IDADI YA WATUMISHI HEWA YAZIDI KUONGEZEKA

Idadi wa watumishi hewa nchini  imeendelea kuongezeka ambapo takwimu za jana zinaonyesha kuwepo kwa watumishi hewa 10,295

Akizungumza  leo wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi,  Rais  wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania  Dr John Pombe Magufuli amesema kati ya watumishi hao hewa, 8,373  wanatoka  Tamisemi   na watumishi 1.922 wanatoka serikali kuu.

Amesema watumishi hao walikuwa wakiligharimu taifa sh. Bilioni 11.6 kwa mwezi sawa na Bilioni 139  kwa  mwaka.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top