Mwenge ukiwa umepokewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ulipowsili ukitokea Zanzibar, Mei 16, 2016
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, George Mbijima akizungumza jambo na Mwenyekiti wa kikundi cha Kisedo cha Kimara, Diana Kijuu wakati alipotembelea kikundi hicho maeneo ya Bunju 'A' mara baada ya kukimbiza Mwenge ambapo mwenge huo utakesha maeneo hayo, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Kamanda Siro (kulia) akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda wakiwemo na viongozi wengite kabla ya kuupokea Mwenge Jijini Dar es Salaam leo
Mstahiki Meya wa manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob (kushoto) wakiwa katika mazugumzo na viongozi wengine wakati walipokua wakiusubiri mwenge wa Uhuru uliokua ukitarajiwa kufika katika uwanja wa Kimataifa wa JK. Nyerere ukitokea Mkaa wa Mjini Magharibi Zanzibar,
Mwalimu wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msewe, Faraja Urasa akiwa na wanafunzi hao wakati walipofika katika Ufunguzi wa Mradi wa Zahanati ya msewe ambayo iliyofunguliwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, George Mbijima
Post a Comment