Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NOAH YAPATA AJALI MBAYA NA KUUA WATU

 Gari hilo likiwa limeharibika vibaya baada ya kupata ajali.

WATU kadhaa wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Noah yenye namba T568 BNZ walilokuwa wakisafiria kupata ajali mbaya katika Barabara ya Mwika – Himo eneo la Makerere wilayani Rombo.

 Gari hilo linasemekana kuwa lilikuwa likitokea Tarakea kuelekea Moshi hivyo kupata ajali ambapo mpaka sasa bado idadi kamili ya waliopoteza maisha haijapatikana mara moja.Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top