Shule ya sekondari ya wasichana ya Ilala Islamic iliopo kwenye Msikiti wa Taqwa Ilala Bungoni jijini Dar es salaam, inateketea kwa moto usiku huu. Chanzo cha moto huo hakijaweza fahamika mara moja na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea.
Loading...
Post a Comment