Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TUMBUA MAJIPU YA RAIS MAGUFULI YAWALAZA NJAA MASTAA WA KIBONGO

Staa wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’

STAA wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amefunguka kuwa kutokana na tumbua majipu ya Rais John Magufuli, wale mapedeshee waliokuwa wakiwategemea ni kama wamepeperuka kwani hawawapi fedha kama ilivyokuwa zamani.

Vai alifunguka hayo kutokana na madai kuwa, wasanii wengi wa kike wana hali mbaya na pale wanapopata mabwana wamekuwa wepesi kuchukulika hata kwa bei chee, tofauti na zamani.

“Kiukweli uongozi wa Rais Magufuli ni kiboko, hali ya maisha ni ngumu sana ndiyo maana hatuonekani kwenye kula bata kama zamani, nimeamua kufanya biashara zangu, filamu nazo hazilipi maana unaicheza kisha inakaa muda mrefu kabla ya kutoka, tumekomeshwa!” alisema Vai.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top