Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS .... TUNDU LISSU APATA DHAMANA ... PIA ALIPANDISHWA MAHAKAMANI

 Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu akiwa katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu. Ikiwa jana Mbunge huyo alihojiwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es Salaam na kutupwa Rumande mara baada ya kukosa dhamana.
Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka mahakamani inasema kuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana na ameamuriwa kutosafiri nje ya nchi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwasiri mahakamani leo.
  Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu akifika  katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu. Ikiwa jana Mbunge huyo alihojiwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es Salaam na kutupwa Rumande mara baada ya kukosa dhamana.


  Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu apandishwa kizimbani mchana huu  katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.‪

  Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu akionesha alama ya chama cha Democrasia na Maendeleo akiwa ndani ya Mahakama  ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam muda huu.‪
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaid
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top