Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

POLISI YAPAMBANA NA WAMACHINGA MTAA WA KONGO

 Askari Polisi wakizima moto uliokuwa umewashwa na wafanyabiashara ndongondogo ‘maarufu kwa jina la wamacchinga’ waliokuwa wamepanga bidhaa zao chini katika katika mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam leo, wakipinga kuondolewa katika mtaa huo. (Picha na Francis Dande)
 Polisi wakizima moto uliowashwa na wamachinga.
 Askari wakiwa wameimarisha ulinzi katika mtaa wa Kongo.
 Zoezi la kuzima moto likiendelea.
 Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya kuondolewa kwa wamachinga.
 Wanachi wakipita katika Mtaa wa Kongo bila usumbufu wowote baada ya wafanyabiashara wanaopanga bidhaa zao chini kuondolewa na Polisi leo.
 Gari la Polisi likiwa katika mtaa wa Kongo. 
 Polisi wakiwa Diria.
 Garoi la Polisi likimwaga maji kuzima moto uliokuwa unawaka. 
 Wananchi wakipita kandokando ya magari ya Polisi.
 Polisi wakizima moto.
Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya Polisi kuondoa wamachinga waliokuwa wamepanga bidhaa zao chini.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top