Mbunge wa EAC, Waziri wa habari wa zamani nchini Burundi na mtangaza mstaafu wa BBC, Bi.Hafsa Mossi ameuawa mapema leo jijini Bujumbura, Burundi.
Inasemekana wauaji waliokuwa ndani ya gari walimmiminia risasi kadhaa kifuani marehemu kabla ya kutimka kuelekea kusikojulikana. RIP Hafsa!!
on Wednesday, July 13, 2016
Post a Comment