Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LOWASSA AZIDI KUKIMBIWA... RAFIKI YAKE MSINDAI ARUDI CCM

 Mgana Msindai (kulia) akiongea jambo.
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida na baadaye kuhama chama na kujiunga na Chadema, Mgana Msindai amerudi CCM leo.

Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe alipokuwa akimkabidhi kadi Mgana Msindai (katikati).

Msindai alitangaza uamuzi huo leo mjini Dodoma baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wakati anaendesha mkutano mkuu wa CCM uliomchagua Rais Dk John Magufuli kuongoza chama.

Msindai alisema aliamua kurudi CCM baada ya kuona hakuna cha kupinga baada ya Rais Magufuli kuchaguliwa kuwa rais wa nchi.

Msindai aliingia Chadema baada ya aliyekuwa mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa kujiunga na Chadema mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top