Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MSAFARA WA WAZIRI MWAKYEMBE WAPATA AJALI MBAYA

Katika hali isiyo ya kawaida msafara wa waziri wa Katiba na Sheria Harrison Mwakyembe umepatwa na ajali ya kupinduka kwa gari lakini paka sasa hivi hakuna mtu ambae amejeruhika kwa habari kamili endelea Endelea kuwa nasi..

Ni kijiji cha Bwanga ndipo ajali ambapo imetokea gari iliyopinduka ni gari ambayo alikuwa amepanda Mkurugenzi wa mashitaka na makosa ya jinai amepanda  nchini  jina bado sijalipata nafanya mpango wa kulitafuta. Anatokea Geita anaelekea Wilaya ya Chato ila alisimamishwa na wananchi wa kata ya Buseresere

 Ajali hiyo imesababisha na watoto ambao walikuwa wakivuka barabara Dereva alikuwa akifanya jitihada za kuwakwepa ndipo gari ikawa imekura mtama nakupinduka.
NA M BLOG
Ajali hii imetokea leo majira ya saa 10:40 jioni hii

Hizi ndizo picha za Ajali hiyo..


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top