Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MSANII WOLPER AMKIMBIA LOWASSA NA KUREJEA CCMMsanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper usiku wa leo ameamua kurejea Chama cha Mapinduzi na kumkimbia aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa.

Walper ambaye alizunguka mikoani kumnadi Lowassa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 amewaomba radhi wafuasi wa CCM akidai aliteleza tu pale alipoamua kukipigia debe Chadema kipicha hicho cha uchaguzi.

Walper ametangaza rasmi uwamuzi huo kwenye Tamasha la Usiku wa Wasanii walipokuwa wakimuaga Jakaya Kikwete kwa kustaafu uenyekiti wa Chama
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top