Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS ... BARAZA KUU LA CUF LAPENDEKEZA MAJINA MATATU WATAKAOMRITHI PROF. LIPUMBA .... JUMA DUNI HAJI AJITOABaraza Kuu la CUF limepitisha majina 3 yatakayopigiwa kura kujaza nafasi ya Uenyekiti, iliyoachwa wazi na Prof. Lipumba mwaka jana.

Majina hayo ni Twaha Taslima, Riziki Shahari Mngwali na Juma Nkumbi.

Wagombea uenyekiti cuf taifa
1. Twaha taslima
2. Juma Mkumbi
3. Riziki

Makamu mwenyekiti
1. Mussa haji Kombo
2. Salim bimani

Walijitoa nafasi ya umakamu
3. Juma Duni haji
4. Dr. Amir muchi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top