"Niko imara na UKUTA uko palepale." Hiki cha leo, kimenipa ujasiri na nguvu zaidi."
"Hatuwezi kukubali kunyamazia uvunjifu wa sheria na ukiukwaji wa katiba. Ni haki yetu kuandamana na kukutana. Mapambano yanaendelea."
-Mh Edward Lowassa
on Tuesday, August 30, 2016
Post a Comment