Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS ... MAJAMBAZI WAVAMIA BENKI YA CRDB NA KUUA MAASKARI ... WAONDOKA NA BUNDUKI MOJA
BREAKING NEWS ... MAJAMBAZI WAVAMIA BENKI YA CRDB NA KUUA MAASKARI ... WAONDOKA NA BUNDUKI MOJA
MAJAMBAZI WAMEVAMIA BENKI YA CRDB MAENEO YA MBANDE MBELE YA CHAMAZI NA KUUA MAASKARI 3 MUDA MFUPI ULIOPITA.......
WALIOFARIKI
E5761 CPL YAHAYA F4660 CPL HATIBU NA
G9544 PC TTITO
KATIKA TUKIO LA UVAMIZI WA BANK MBANDE CRDB USIKU HUU SAA 19:3 0HRS. Inasemekana SMG moja wameondoka nayo majambazi. Tukio limetokea wakati askari wakibadilishana lindo. Mmoja aliyefariki alikuwa anaingia, mmoja alikuwa anatoka na mwingine alikuwa dereva. Majambazi hayakuingia ndani ya bank. Gari Leyland Ashok limeharibiwa sana kwa risasi. Ni tukio baya sana
Post a Comment