Loading...
JAMES MBATIA AMSHAURI RAIS MAGUFULI AVIFUTE VYAMA VYA UPINZANI NCHINI
"Ushauri wa NCCR, ushauri wa CUF, ushauri wa ACT ni hivi kama Rais Magufuli anaona vyama vya upinzani vinamkera, apeleke mswada wa hati ya dharula katika Bunge linaloanza kesho kutwa vyama vyote vya siasa vifutwe aongoze mwenyewe kiimla, ili asipingwe kwa kila jambo analolisema awe ni 'Kun Faya Kun' kama anavyotaka yeye" James Mbatia mwenyekiti wa NCCR Mageuzi. Live kutoka makao makuu ya chama hicho Ilala ambapo vyama pinzani vinatoa mrejesho wa kikao walichofanya Jana na viongozi wa Dini nchini.
Post a Comment