Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MBOWE HALI TETE .... KUNYANG'ANYWA CLUB BILICANAS

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.

Akizungumza ofisini kwake Dar es Salaam, Mchechu amesema Mbowe anadaiwa malimbikizo ya kodi.

Hata hivyo amesema suala hilo halina uhusiano na siasa za Ukuta kwani mbali na Mbowe zipo taasisi na watu binafsi wanaodaiwa.

“ Zipo pia taasisi za serikali zikiwemo wizara na idara ambazo mwezi zitatimuliwa kwenye majengo wanayotumia.”
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top