Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS MAGUFULI ANG'ARA RAIS BORA AFRIKA

Gazeti linalosomwa zaidi Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya zinazoongea Kifaransa la kila wiki la Le Canard enchaîné imemtaja rais Magufuli kama kiongozi ambaye Afrika ilimsubiri kumpata kwa zaidi ya miaka 50 ili iendelea.

Gazeti hilo limesema Magufuli ana zaidi ya asilimia 95 ya sifa ambazo kiongozi yoyote yule barani Afrika anahitaji ili kuipeleka nchi yake mbele, huku likisema uwezo wa Magufuli kusimamia utumishi wa umma, kupambana na rushwa uongozi madhubuti ni vitu muhimu sana kwa taifa lolote Afrika.

Pia wameenda mbele sana na kudai nchi yoyote ile barani Afrika inahitaji sana huduma za afya,elimu bora,chakula na uchumi imara kuliko inavyohitaji demokrasia.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top