Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAFANYAKAZI BANDARI YA KIGOMA WAGOMA

Wafanya kazi wa Bandari ya Kigoma leo wamegoma Kufanya kazi wakishinikiza kulipwa Posho zao ambazo wanaidai Kampuni ya Usafirishaji Africa.

Muungwana Blog ikamtafuta Port Master wa Kigoma ili kupata uhakika kama kweli wafanyakazi wamegoma kufanya kazi lakini jitihada zikagonga mwamba na baadae tukamtafuta Ruoga ambaye ni Opperation Manager wa Bandari ya Kigoma ndipo tukafanikiwa kumpata na kumuhoji juu ya swala hilo la wafanyakazi kugoma hapo bandarini.

Mr Ruoga alikataa kuwa hakukuwa na Mgomo wowote katika bandari hiyo nabadala yake akatoa maelezo kuwa leo hakukuwa na mzigo wa kupakia wala kupakua katika bandari hiyo ndio maana hakukuwa na wafanya kazi.. Sikiliza mahojiano hayo katika Video hii..

Angalia Video hii ya Mahojianao...ANGALIA PICHA ZA HAPOA BANDARINI KWA SIKU YA LEO..Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top