Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA TENA ... DALADALA NA BASI SUPER SHEM YAGONGANA NA KUUA WATU 11, KUJERUHI WATU 10Watu 11 wanasadikika kupoteza maisha papo hapo na wengine zaidi ya 10 kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea leo saa 11 asubuhi katika eneo la Hungumalwa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza ikihusisha daladala na basi la Super Shem lililokuwa likitokea Mbeya kuja Mwanza.

Majeruhi wa ajali hiyo waliokuwa kwenye basi wamesema basi lao lilikuwa kwenye mwendo mkali na lilipofika eneo la tukio ghafla daladala hiyo iliingia barabarani na hivyo dereva wa basi kushindwa kuikwepa.

Waliopoteza maisha na kujeruhiwa ni abiria waliokuwa kwenye daladala. Lake Fm inaendelea kufuatilia undani wa taarifa ya ajali hiyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top