Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ALIYEKUWA KATIBU UVCCM (W) FRANK KIBIKI AAGWA MUHIMBILI


*KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA NDG SHAKA.H.SHAKA AMEONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA KATIBU WA UVCCM NDG FRANK KIBIKI MUHIMBILI*

Kufuatia kufariki kwa Ndg Frank Kibiki aliyepata kuwa katibu wa Uvccm wilaya mbalimbali nchini leo kaimu katibu mkuu aliwaongoza Viongozi na waombolezaji katika kuaga mwili wa marehemu Frank Kibiki na pia kutoa mkono wa Pole kwa mjane wa marehemu Bibi Tumaini Msowoya ambae nae alipata kuwa mkt Uvccm mkoa wa Iringa.

Katika ibada hiyo iliyofanyika hapo muhimbili kaimu katibu mkuu alisema"Uvccm tumepokea kwa mshtuko taarifa za msiba wa ndg yetu Kibiki marehemu alikuwa ni mchapakazi na mbunifu katika kazi na msiba huu ni wetu sote na hakika umetugusa "

Marehemu pia aliwahi kuwa muandishi wa habari wa gazeti la Uhuru.

Kaimu katibu mkuu kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi na umoja wa vijana  aliwasilisha salam za  Rambirambi.

Bwana alitoa na bwana ametwaa lihimidiwe jina la bwana.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top