Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Bweni lingine tena laungua moto
Bweni la wasichana wa kidato cha V na VI wa Shule ya Sekondari ya Mwanzi Manyoni limeungua moto uliozuka kuanzia saa 2.20 usiku. Bweni lilikuwa linatumiwa na wanafunzi 40 ambapo vitu vichache sana vimeweza kuokolewa. Bweni lilikuwa la vyumba 3 ambalo vyumba 2 kuta zake zimebomoka kabisa. Inahisiwa kuwa hitilafu ya umeme ndio chanzo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top