Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Makonda aja kivingine na Bodaboda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezindua rasmi programu maalumu, inayolenga kuboresha sekta ya usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda pamoja na bajaji, ambao sasa watasajiliwa kwa namba zao maalumu, zitakazokuwa zimeandikwa katika sare watakazokuwa wamevaa.
Programu hiyo itafahamika kama Mwonekano mpya wa Pikipiki na Bajaji Dar es Salaam. Itakapoanza, hakutakuwa na ulazima wa polisi kukimbizana na bodaboda na itakuwa rahisi kupunguza vitendo vya uhalifu.
Aliongeza kuwa pamoja na mambo mengine, mwonekano huo mpya umelenga kuongeza fursa za kibiashara katika usafiri huo, ambapo mtu, taasisi au shirika litakalohitaji kubandika tangazo katika kofia ngumu au pipiki atalazimika kulipia.
Download Our App

1 comments:

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top