Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MUFTI ATANGAZA TAREHE YA SIKU YA EID

Tanzania,Sheikh Aboubakary Zubery ametangaza Septemba 12 mwaka huu kuwa ndiyo siku ya Sikukuu ya Eid Alhaj itakayoswaliwa kitaifa katika  makao makuu ya Baraza la Waislam Tanzania (Bakwata).

Kauli hiyo ya Mufti Zubery imetangazwa leo na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wakati kikao cha kuwatambulisha safu ya viongozi wapya wa Baraza la Vijana la Jumuiya ya Waislamu wa Dar esSalam.

Mufti Zubery amesema sikukuu itakuwa Septemba 12 baada ya mwezi kuandamana jana hivyo leo ni mwezi mosi kwa lugha ya kiarabu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top