Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Muigizaji Muhogo Mchungu azushiwa kifo

 Kumeibuka  taarifa zisizo sahihi ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii haswa Whatsapp na Instagram kuhusiana na muigizaji mkongwe wa filamu Tanzania, Muhogo Mchungu kufariki dunia. Baada ya taarifa hizo kuenea, kupitia mtandao wake wa Instagram, mwigizaji wa bongomovie Batuli amekanusha taarifa hizo.

Batuli aliandika hivi…

”Muogopeni Mungu Nyie Mnaozusha Habari Za Vifo Kwa Watu Maarufu,, Mkumbuke Hakuna Atakayepaa Sote Njia Yetu Ni Moja, Tumieni Mitandao Vizuri Sio Sifa Wala Ujanja Kutengeneza Habari Zenye Uzushi Kila Baada Ya Muda Fulani, Kifo Ni Cha Wote Hakikimbiliki Mtambue Ipo Siku Na Nyie Mabingwa Wa Kuzusha Kitawatembelea Tu #MunguAnawaona#MolaAkupeMaishaMarefuBaba”
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top