Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Stand United yaibutua YangaMabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga wameangua pua baada ya kuchapwa bao 1-0 na Chama la wana Stand United.

Mchezo huo uliomalizika muda mchache uliopita ulipigwa katika dimba la CCM Kambarage mjini Shinyanga.

Goli pekee la Stand United lilifungwa na Pastory Athanas kipindi cha pili na kuifanya Yanga kupoteza mchezo wake wa kwanza msimu huu katika ligi hiyo kubwa kabisa kwa ngazi ya vilabu hapa Tanzania.

Yanga wanaelekea katika mchezo wao na watani zao Simba hapo Jumamosi mchezo ambao unaonekana utakua mgumu kwa Yanga baada ya watani zao hao kuongoza ligi huku wakiwa na kikosi bora msimu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top