Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Magufuli azindua kiwanda kipya cha Bahkresa leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa (wa kwanza kulia), Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega wakivuta kamba kwa pamoja kuashiria ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kusindika Matunda cha Bakhresa Mwandege mkoani Pwani.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa kiwanda hicho cha usindikaji wa matunda kilichopo Mwandege mkoani Pwani. Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo Bw. abubakar Bakhresa, Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega na Waziri wa Viwanda Biashara na uwekezaji Charles Mwijage na Mtendaji Mkuu wa Bakhressa Food Products Salim Aziz Salim. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhressa Said Salim Bakhresa wakiangalia mojawapo za hatua za usindikaji wa matunda aina ya maembe katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi Kundi la Makampuni ya Bakhresa mara baada ya kufungua rasmi kiwanda cha Usindikaji wa Matunda cha Bakhresa kilichopo Mwandege mkoani Pwani. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top