Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Serikali kutoa Bilioni 427 mikopo ya elimu ya juuSerikali kupitia Naibu waziri wa Elimu Mh.Injinia Stella Manyanya imetangaza kutoa Billioni 80 ambazo zilizoelekezwa vyuoni kuanzia siku ya tarehe 18/10/2016 pesa hizi ni kwaajili ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao tayali utaratibu wa kuchakata majina umeshakamilika na pia kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ya vyuo vikuu kwa miaka mingine.

Aidha Naibu waziri amesema serikali imetenga shiling Billion 427 kwaajili ya kutoa mikopo kwa mwaka huu wa fedha.
Pia ameagiza wakuu wa vyuo ambao hawajakamilisha upelekwaji wa matokeo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo wafanye hivyo haraka.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top