Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AUDIO: Walichosema ACT - Wazalendo mara baada ya Mosses Machali kuhamia CCM

Masaa machache baada ya Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini Moses Machali  kupitia NCCR Mageuzi, na baadae kuhamia ACT-Wazalendo, kutoa taarifa ya kuhusu kuunga mkono serikali ya awamu ya tano na utendaji kazi wake, Afisa habari wa chama cha ACT-Wazalendo, Abdallah Hamisi ameongea haya. Sikiliza hapo Sauti yake hapo chiniPicha inayohusiana
Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe kulia akimtambulisha Mbunge wa Kasulu Mjini aliyemaliza muda wake Moses Machali ambaye alijiunga rasmi na ACT-Wazalendo mwaka jana mwezi wa Saba
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top