Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS ... Ester Bulaya ambwaga tena Steven Wassira

Habari iliyoifika kutokea Bunda inasema Mbunge wa zamani Steven Wassira ameshindwa tena kwenye Rufaa yake na Ester Bulaya Mbunge wa Bunda.

Taarifa kutokea Bunda: Mbunge wa jimbo la Bunda-mjini, Esther Amos Bulaya, ameshinda kesi yake ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili, iliyofunguliwa na wanachama 4 wa CCM na aliyekuwa mgombea ubunge wa chama hicho, Steven Wassira.., kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, lakini ilikuwa inasikilizwa mjini Musoma, Mara.

Chanzo: JF
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top