Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS ... Rais Magufuli amshughulikia Sumaye ... Afuta hati ya shamba lakeLeo Mh Raisi kupitia mteule wake DC salum Hapi amefuta umiliki wa Shamba ekari 35 zilizokuwa zinamilikiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye.

Akizungumza Leo DC Salum Hapi amesema Sumaye hatakiwi kufanya chochote kwenye shamba hilo kwani kashanyang'anywa na limerudishwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.

Mh Sumaye alikuwa anamiliki ekari 35 maeneo ya Mabwepande Kinondo na ilitokea mgogoro baada ya wakazi kulivamia kutokana kutoliendeleza kwa mda mrefu.

Chanzo: JF
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top