Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS ... SPIKA MSTAAFU SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA



TANZIA: Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu... Poleni ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi Amina.

TAARIFA YA FAMILIA

Tunasikitika kuwataarifu kuwa mzee wetu mpendwa S.Sitta amefariki dunia Hosp Ujerumani saa 7:50 muda wa Ujerumani..... Taarifa ya familia

Tutazidi kuwaletea taarifa zaidi, endelea kuwa nasi ...
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top