Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Jinsi ya kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa Mwanamke aliyepoteza hisia ...

Tendo la ndoa ni tendo lenye ladha ya aina yake na furaha isiyo elezeka, lakini kuna watu ambao hufanya tendo kwa hali ya kulazimisha sababu yumo ndani ya ndoa.

mana huwa hasikii hisia wala tamaa ya tendo. ambapo huweza kusababisha ndoa kuwa chungu ana usalitiwaji wa ndoa.

SABABU

KIMWILI
1.) upungufu wa damu na madini ya chuma kutokana na kupata hedhi
2.) kutumia madawa ya kulevya
3.) magonjwa makubwa kama kisukari

KISAIKOLOJIA
a) kufanya kazi kwa muda mrefu
b) kukumbwa na wasiwasi na huzuni sana
c)kua na historia ya kubakwa au kuchukizwa na mapenzi

TIBA YAKE
  • KUNGU MANGA robo kilo.  
  • KARANGA nusu.

KISHA CHANGANYA lakini kungu manga itabidi UTWANGE na karanga USITWANGE,
kisha tafuna pamoja  nusu saa au saa moja kabla ya kuanza kuingia katika jimai (TENDO LA NDOA).

utapata raha na hisia za ajabu na kufurahia tendo hilo. utadumu hivyo kwa siku 11 ukitumia tiba hii. na utapona inshaa Allah.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top