Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu akiwa kwenye Meli akielekea Kisiwa cha ukerewe.
Amesafiri kwa Meli kwa masaa matatu kutokea Mwanza Mjini kuelekea kisiwa cha Ukerewe.
Atakuwa na Ziara ya siku nzima Ukerewe leo tarehe 17/11/2016.
on Thursday, November 17, 2016
Post a Comment