Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NCCR - Mageuzi 'yaibipu' Polisi

Katibu Mkuu wa  Chama cha NCCR-Mageuzi Juju Danda amesema chama hicho kinakusudia kufanya mikutano ya hadhara katika maeneo mbalimbali ya nchi ili kujiimarisha na kupata wanachama wapya.

Tokeo la picha la Juju Danda NCCR

Danda ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi) wakati akizungumza na wanahabari juu ya hali ya kisiasa nchini.

Amesema  kifungu namba 11 cha Sheria ya Vyama vya Siasa kinavipa haki vyama vyenye usajili wa  muda na wa kudumu kufanya mikutano ya hadhara na maandamano kwa ajili ya kujitangaza na kutafuta wanachama wapya.

"Hizi ni salama tu kwa watawala.Muda ukifika tutangaza lini tunaanza, wapi tutaanzia na kuishia ili kukiimarisha chama.

"Mikutano ya ndani ya tumeshaifanya sana, sasa ni wakati wa mikutano ya hadhara ili kuubarisha umma kinachoendelea," anasema Danda.

Hata hivyo mpango huo wa chama hicho hautofanikiwa kutokana na polisi kwa nyakati tofauti kutangaza kupiga marufuku mikutano ya hadhara na maandamano.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top