Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RC Makonda ampigia simu Rais Magufuli mkutanoni ... Haya hapa mazungumzo yao



RC Makonda leo akiwa Ubungo ktk mwendelezo  wa mikutano yake ya kusikiliza kero za wananchi. Wananchi wa Kimara waliuliza kuhusu bomoa bomoa Kimara bila kulipwa fikia.

RC Makonda wakati anafafanua aliamua kupiga simu direct kwa Mhe Rais Magufuli ambaye alipokea na kuanza kuongea kwa kutoa ufafanuzi wa kina kupitia loud speaker ya simu ya RC Makonda ambayo iliunganishwa vipaza sauti watu wote waliokuwepo wakisikiliza.

Baada ya ufafanuzi mrefu Mhe JPM aligusia kuhusu nyumba zilizoko ktk road reserve na kusema hata jengo la Tanesco kama liko ktk eneo husika litavunjwa.

Amesema serikali imepata pesa tayari kujenga interchange ya ghorofa 2/3  ya aina yake.

Mhe Rais JPM amempongeza RC Makonda na kumtaka aendelee kutatua kero za wananchi na ingependeza RC'S wengine wangeiga utaratibu huu.
Maana kero nyingi za wananchi hazijipati majibu kwa wakati kufanya hivyo itapunguza malalamiko  mengi.

Mtindo huu wa mawasiliano baina ya RC na Mhe Rais umeamsha hisia chanya kwa wananchi kiasi Mhe JPM alivyomaliza kuongea wananchi walilipuka kwa Shangwe kubwa sana.

*Hongera sana serikali ya awamu ya tano.

Imeandaliwa na Tembe Nyaburi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top