NEVADA, MAREKANI: Wanausalama wamuondoa jukwaani, Donald Trump baada ya mtu 1 kupaza sauti kuwa kuna hatari ya kufyatuliwa risasi.
- Mtu huyo inayedaiwa kuwa alikuwa na bunduki aliachiwa huru baada ya kugundulika hakuwa na silaha yoyote
on Sunday, November 6, 2016
Post a Comment