Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Achomwa mkuki wa mdomo na kutokezea shingoniMtu mmoja Agostino Mtitu mkulima wa kitongoji cha Upangwani kijiji cha Dodoma Isanga amechomwa mkuki mdomoni na umetokezea nyuma ya shingo yake. Amekimbizwa hospitali ya mkoa ili kufanyiwa operesheni ya kuondoa mkuki huo. Ameshambuliwa na wafugaji wa kimasai alipokuwa akimsaidia jirani yake kufukuza Ng'ombe wasiharibu mazao shambani.

Kipande cha mti kinachoonekana mdomoni ndiyo mkuki huo, kimekatwa kupunguza urefu wa mkuki wakati wakimleta hospitali.

Inasemekana MwenyeKiti wa kijiji na MwenyeKiti wa kitongoji hicho nao wamejeruhiwa japo hadi sasa bado hawajafikishwa hapa hospitali
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top