Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS ... Afande Sele atangaza kujitoa ACT - Wazalendo .... Haya hapa maneno yakeHabari za wkt huu akina ndugu nyote,naamini tupo pamoja ktk kujitafutia maisha na kulijenga taifa letu pendwa Tz ambalo ndani ya katiba yake kuna kipengele muhimu kinachotupa UHURU kwa kila mtu kufanya mambo yake apendavyo ilimradi tu havunji sheria za nchi....sasa kwa kuzingatia UHURU huo tuliopewa na KATIBA yetu mimi Leo natangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT-Wazalendo na kutokua mfuwasi wa chama chochote cha Siasa bali nitabaki kuwa raia wa kawaida ndani ya nchi yetu huku nikiendelea na majukumu yangu mengine ya kimaisha mpaka hapo nitakavyoamua vingine kama nitakua na sababu ya kufanya hivyo...Nawatakia kila la kheri wote waliobaki ndani ya chama pia nawatia moyo mkuu wa kuendeleza harakati za ujenzi wa chama ili kuleta upinzani sahihi na imara utakaosaidia kujenga taifa kwa faida yetu na vizazi vijavyo...naomba ieleweke kuwa uamuzi huu'tarajiwa'sijauchukua kwa bahati mbaya hivyo naomba kila mmoja awe wa ndani au wa nje ya chama chetu aheshimu uamuzi wangu kama mimi ninavyoheshimu maamuzi ya watu wengine kwa mujibu wa KATIBA ya nchi inavyosema...Ahsanteni sana wadau tukutane MAISHANI...
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top